Tuesday, April 9, 2013

UHURU KENYATTA INAUGURATED AS KENYAN PRESIDENT

President Uhuru Kenyatta aboard the ceremonial military land rover after he was sworn in as Kenya's fourth president on April 9, 2013. Photo|JOAN PERERUAN/MNG

Kenya's 4th President Uhuru Kenyatta receives a symbolic sword of power from outgoing President Mwai Kibaki (2L) after he was sworn into office on April 9, 2013 in Nairobi. AFP PHOTO / TONY KARUMBA

Kenya's 4th President Uhuru Kenyatta is sworn into office on April 9, 2013 in Nairobi by Chief registrar Gladys Sholei (L) as his wife Margaret (R) looks on. Uhuru Kenyatta was sworn in as Kenya's fourth president on Tuesday to thunderous cheers from tens of thousands of supporters, despite facing trial on charges of crimes against humanity. AFP PHOTO / TONY KARUMBA

MAGEREZA DODOMA WAKABIDHIWA MAGARI YA KISASA YA KUSAFIRISHA MAHABUSU KWENDA NA KURUDI TOKA MAHAKAMANI

Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Minja akitoa hotuba yake kabla ya kuzindua mabasi mawili na gari ndogo moja (pick-up) kwa ajili ya kuwasafirishia mahabusu toka gerezani kwenda mahakamani na kurudi gerezani kwa Mkoa wa Dodoma. Katika hotuba yake mkuu wa jeshi hilo aliwataka maofisa magereza wa mkoa huo wawe makini kuyatunza magari hayo. Uzinduzi huo ulifanyika katika Gereza Kuu Dodoma Jumanne

Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Minja, akikata utepe kuzindua rasmi jukumu la kuwasafirisha Mahabusu kutoka Gerezani kwenda Mahakamani na kurudi Gerezani kwa Mkoa wa Dodoma. Katikati ni Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma, Mary Shangali, kushoto ni Mkurugenzi wa Mashitaka nchini(DPP), Dk.Eliezer Feleshi ambao walikuwa katika uzinduzi huo uliofanyika katika Gereza Kuu Isanga Dodoma Jumanne

Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Minja, akiwasha moja ya magari yaliyozinduliwa kuashiria uzinduzi wa kuwasafirishia Mahabusu kutoka Gerezani kwenda Mahakamani na kurudi Gerezani kwa Mkoa wa Dodoma. Uzinduzi huo ulifanyika katika Gereza Kuu Isanga Dodoma Jumanne.

Magari matatu ya kuwasafirisha Mahabusu yaliyozinduliwa na Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Minja, katika hafla iliyofanyika Gereza Kuu Isanga Dodoma Jumanne. Picha zote na Felix Mwagara.

FUFA SACK UGANDA CRANES HEAD COACH

Mr Bobby Williamson’s four years and eight months as the national team, Uganda Cranes, coach have ended. The Federation of Uganda Football Association issued a notice of termination of contract to the Scotsman on Monday. Source/The Daily Monitor

Sudanes President Bashir to skip Kenya president inauguration

Sudan President Omar al-Bashir will skip Tuesday’s inauguration of Uhuru Kenyatta as Kenya's fourth Head of State.

This comes as a section of lawyers petitioned Attorney-General Githu Muigai to arrest and hand over President Bashir to The Hague in case he comes to Nairobi

Government spokesman Muthui Kariuki said the Sudan President had indicated that he would not attend the occasion in spite of being among the 54 Heads of State who were invited.

“President Bashir, like all other African presidents, was invited. However, I can confirm that he will not be attending,” he said.

The Kenya Chapter of the International Commission of Jurists (ICJ Kenya) warned that the country would be failing in its duties as a member state of the treaty establishing the International Criminal Court (ICC) if it allowed President Bashir, an indictee of The Hague, safe entry and exit.

In addition to the two warrants issued by the ICC, lawyers Wilfred Nderitu and Elias Mwenda reminded Prof Muigai that the High Court issued a provisional warrant compelling the government to arrest the Sudan President any time he sets foot on Kenya’s soil.

“As a State Party to the Rome Statute establishing the ICC,  Kenya is under an obligation to enforce the warrants by arresting and surrendering President Bashir to the ICC if he enters Kenyan territory,” they said in their petition. Source/NMG

UHURU KENYATA ACHOTA BUSARA KABLA YA KUAPISHWA LEO

Kenya's President-elect Uhuru Kenyatta (left) meets former President Daniel arap Moi at his Kabarnet Gardens residence in Nairobi County recently. Photo/PPS.. Source:NMG


JK AWASILI NAIROBI KUHUDHURIA KUAPISHWA KWA RAIS MTEULE UHURU KENYETTA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakipokea maua mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nne wa Kenya Mhe Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake Mhe William Ruto katika uwanja wa michezo wa Kasarani kesho April 9, 2013.(Picha na Ikulu)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa kwa heshima zote baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nne wa Kenya Mhe Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake Mhe William Ruto katika uwanja wa michezo wa Kasarani kesho April 9, 2013. (Picha na Ikulu)