Prince Masaai...!!
Friday, January 23, 2009
Matatizo ya maji vijijini.......
Maji hayo ya kamto dizain ya kabwawa wilayani Kongwa mkoani Dodoma hutumika kwa kunywa na kufulia.....
Ndo kama hivyo tena mifugo nayo humo humo.....
Sijawa na uhakika iwapo hali hii ni salama kwa afya ya wanadamu......
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment