Friday, January 9, 2009

NANI KAKWAMBIA KUWA JK HAKASIRIKAGI....???

Samtaim mtu ukiwa siriaz kidogo inafaa.........
Wadau naombeni kapsheni katika ........!!!!

matokeo UWT....

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (kushoto) akimsalimia Mjane wa Mwl Nyerere, Maria

Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania ya CCM (UWT) Sophia Simba akifurahia ushindi........


Hivi kweli tumeshinda....!!!!
Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania ya CCM (UWT) Sophia Simba na Makamu wake Asha Bakari Makame(kushoto)

Kampeni UWT zilianza longi.....

Wengine walitumia vilongavonga
Katika kampeni ..... lazima uwe na timu yako bwana

Kabla ya mkutano..... mikakati bado ilikuwa ikiendelea