Tuesday, February 10, 2009

Jamani hii ndio elimu yetu bongo....

Wanafunzi wakiwa darasani katika shule moja (jina tunalo) huko wilayani Kongwa, mkoani Dodoma

Mandhari ya nje ya shule hiyo...... hilo ndio darasa lenyewe...


Je kwa namna hii elimu itaboreka.....?



Usingizi unapokupata nomaaa....

Mshkaji mlinzi akichapa mbonji......