Friday, February 20, 2009

Hapa wajeda wakionesha umahiri katika karateee

Ujuzi wa kujihami na kujilinda wakati ukiwa hauna silaha mkononi...... wenyewe wanaita karatee.... za kichinachina.......

Ufipokuwa fit unatengua nyonga......
Mshkaji keshakubali iyo.....

Hawa jamaa wako fit si mchezo.....

Mazoezi ya kijeshi wakati wa kufunga mafunzo ya awali ya kijeshi katika kambi ya makutupora mkoani Dodoma. Vijana wapatao 1306 walihitimu mafunzo hayo, sita waliingia mitini.
Hapa ni ujuzi wa kuvuka vikwazo mbalimbali kwa kutumia kamba.....

Wakipeana taf kuvuka ukuta.....