Saturday, January 10, 2009

POLISI DOM VS MTIBWA SUKARI YA MORO

Mlinda mlango wa Mtibwa Sugar ya Morogoro mkiruka juu kuwania mpira na mshambuliaji wa Polisi Dodoma Salim Gilla wakati wa mchezo wa ligi kuu duru la pili iliyochezwa katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma. Timu hizo zimetoka sare 1-1.


Mshambuliaji wa Polisi Dodoma Bantu Admin (kulia) akiwania mpira na beki wa Mtibwa Sugar ya Morogoro Idrisa Rajabu wakati wa mchezo wa ligi kuu duru la pili iliyochezwa katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma. Timu hizo zimetoka sare 1-1.