Thursday, January 15, 2009

Gari za minadani.....

Jamaa akiwa maeneo ya kikuyu katika barabara ya Dom-Iringa akielekea kwenye minada vijijini akiendelea kusubiri abiria zaidi wakati ambapo ngoma yenyewe ishakula mgizo wa kutosha..... Kwa mtaji huu .....Hivi kweli tutafika...????

mambo ya tekelinalokujia.....!!!

Mafunzo hayo ya jinsi ya kutumia kompyuta kwa hawa nduguzetu ..... picha hii imeorijineti toka SABMiller

Mambo ya habari.....

Mambo ya mawasiliano ya habari yamesaidia kwa kweli kuwakip intach wakazi wa vijijini na dunia jinsi inavyokwenda..... hii dish ni katika kijiji kimoja kinaitwa Mpwayungu....kilometa mingi tu kutoka dom manispaa....