Saturday, September 10, 2011

Meli ya MV Spice Islander yazama

Meli ya MV Spice Islander iliyozama usiku wa kuamkia leo katika eneo la Nungwi kati ya visiwa vya Unguja na Pemba.