Tuesday, May 5, 2009

Mafua ya ' Ze Hot-chair'

Ati huko kwa pharao wanataka angamiza hawa viumbe wa sir God bureee... wakati huku kwetu sie wala hatuna taaabu nao... tunawachunga malishoni kama hivi uonavyo.... afu baadaye twawapeleka kwa mpareee....!!!

Je waweza hiyo...??!!

Kidole hicho cha pua..... chafya za kufa mtu.....!!!!

Mazingaombwe au mazingara...??

Vijana wakifanza mazingaombwe wakidai ni waganga wa kienyeji (jadi) wenye uwezo wa kutatua shida na matatizo ya watu.... utapeli mtupu... watu kadhaa washalizwa kwa mtindo huo mjini Dom.