Monday, February 2, 2009

Kizaazaa cha mvua

Vijana wakivusha wapitanjia katika eneo la Ipagala mjini Dodoma kwa ujira wa Sh100 baada ya eneo hilo kujaa maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha mjini Dodoma mwishoni mwa wiki. Picha na Jube Tranquilino
Mvua zikinyesha kwa wenginewetu ni dili......