Thursday, August 18, 2011

Sakata la wananchi kugombea mafuta baada ya lori kupinduka Kisumu, Kenya

 Askari polisi akitumia mbwa akijaribu kuwatawanya vijana waliokuwa wakichota mafuta yaliyomwagika kutoka katika lori lililopinduka katika kijiji cha Buoye huko Kisumu, Kenya jana (August 17).
 Mwanamke akiwa amekaa chini baadaya ya kulevywa na harufu nzito ya petroli iliyomwagiga..
 Mbwa wa polisi akijaribu kumkamata kijana ambaye anadaiwa kuchota mafuta....
 Askari polisi akifyatua risasi kuwatawanya wananchi waliokuwa wakirusha mawe baada ya kuzuiwa kuchota mafuta yaliyomwagika toka katika lori.
Mwanamke akisaidiwa kupelekwa hospitali baada ya kupata majereha ya risasi... SOURCE: DAILY NATION...PHOTO/ JACOB OWITI