Taifa jipya la Sudan Kusini limezindua fedha yake mpya ikiwa ni alama mojawapo ya utaifa.... noti hiyo inasura ya mpigania uhuru wa taifa hilo marehemu John Garang... kufuatia kuzinduliwa kwa noti hiyo.... Sudan Kaskazini nayo iko mbioni kuzindua fedha yake na kuachana na (Sudan pound) iliyokuwa ikitumiwa kabla ya kujitenga kwa Sudan Kusini. PICHA YA AFP