Polisi wakikagua bangi hiyo...... Basi lenyewe ndo hilo.... Polisi wa kituo cha Kati mjini Dodoma wakikagua bangi baada ya kukamata gunia tano za bangi zilizochanganywa na mkaa, kisha kufungwa vyema na kupuliziwa marashi. Bangi hiyo ilikamatwa Jumanne wiki hii katika basi la Najimunisa lililokuwa likitoka mkoani Mwanza kuelekea Dar es Salaam. Watuhumiwa watatu wanashikiliwa na polisi akiwemo Kondakta wa basi hilo na abiria wawili.
No comments:
Post a Comment