Soka la Bongo
Wakati refa ukiboronga wachezaji wanakukoromea...... huku kwetu idodomya mashabiki ndo wanafanza kazi yao... refa unaletewa nyuki kibao uwanjani.... Taswira hiyo hapo juu ni wakati wa pambano la ligi kuu kati ya wenyeji Polisi na wakata miwa wa Mtibwa morogoro... nyuki walivamia uwanjani mara kadhaa na kufanya wachezaji pamoja na refa kulala chini au kuchukumaa kujinusuru wasijepatwa mandundu....
No comments:
Post a Comment