Wednesday, January 14, 2009

Blog nyingine ya wana idodomya korea kusini...


Mdau Samson Msambazi aliyepo mjini Seoul, Korea Kusini kafungua Globu ya kuwaunganisha wana Idodomya.. kanifoadia msg ili nami niweze pata wapasha habari wengine juu ya blog hii inaitwa

www.dodoma.ning.com

unawea kufungua na kuangalia, unaweza pia kufowadi msg kwenye hii network na pia kutangaza bule kwenye network hii na pia unaweza kujiunga na wewe pia, nia ni kupashana habari juu ya Dodoma.

No comments: