Wachezaji wa Simba wakiomba dua.....
Shabiki la Yanga likionyesha ishara ya kumchinja mnyama na goli tatu...
Kikosi cha Yanga......
Kikosi cha Simba kilichokuwa na matumaini....
Kipa wa Yanga Yaw Berko akiwapanga mabeki...
Mshambuliaji wa Simba Ulimboka Mwakingwe akimtoka beki wa Yanga Oscar JoshuaMashabiki wa Simba wakiwa wametundika bango..... Utani wa jadi tena ndo huu...
Mshambuliaji wa Yanga Davis Mwape akiwania mpira na beki wa Simba Juma Nyosso
Muuaji wa Mnyama, Davis Mwape wa Yanga na Juma Nyosso wa Simba katika moja ya hekaheka...
Jinsi Davis Mwape alivyowatoka mabeki wa Simba na Kumchambua kipa Juma Kaseja...
Kitu kimyani.....
Shamra shamra.....
Kocha wa Yanga Kostadin Papic akiwapongeza wachezaji
Kipa wa Simba Juma Kaseja akiwa ameshika kiuno....huku score board ikionesha I-0...Mashabiki wa Yanga wakifurahia goli.....hilo bango chini yao ni utani wa jadi huo...
Mshambuliaji wa Yanga Jerry Tegete akihuzunika baada ya kukosa goli ndani ya sita...
Beki wa Yanga, Nadir Haroub akiwapa pole bench la Simba baada ya mchezo...
Wachezaji wakiwa wamembeba juu kocha Kostadin Papic baada ya kipyenga cha mwisho...
Ndo furaha ya ushindi kwa mashabiki wa Yanga...
Hasira na huzini kwa mashabiki wa Simba...
Papic akiwasalimu mashabiki wa Yanga baada ya mchezo....
Polisi wakiwaadabisha mashabiki wa Simba baada ya kuanza kurusha makopo matupu ya vinywaji baridi..."Toa bango lako uende...kufungwa mshafungwa...sasa vurugu za nini,"alisikika askari akimwambia shabiki wa Simba...
Kocha wa Simba akitafakari baada ya mechi....(labda kuhusu hatima ya kibarua chake mshimbazi) huku akiangalia Score board asiamini kilichotokea....