Friday, January 23, 2009

BAJAJ MAYAI

Mambo ya bajaj mayai.... wadosi wajaribu kukimbizana na soko.....!!!
Ila kwa wale wenzatu wa saridalama......ambao usafiri huu a babaj husaidia sana katika maeneo fulani fulan na hususan kutokana na unafuu wa gharama zake.... sijui zikija za namna hii nauli yake itapanda au....?

No comments: