Tuesday, January 13, 2009

Hii ndo bongo bwana.....!!

Mshkaji akila ride mitaa ya Dom huku kapakia abiria wawili kinyume na sheria za usalama kwa road hususan kwa vyombo kama hicho kwa picha........

1 comment:

Anonymous said...

huenda huyo ni mkewe na mtoto,his life,halafu hata kofia ya kinga hawana,kavaa kofia peke yake doh kazi kweli kweli