Saturday, January 17, 2009

Watoto wa mitaani ni tatizo kichizi dom

Kijana aishie katika mazingira magumu akiwa amelala katika bustani ya Nyerere mjini Dodoma. Idadi ya watoto kama hawa inazidi kuongezeka mkoani Dodoma ambapo takwimu zinaonyesha kuwa kuna zaidi ya watoto elfu 14 wanaoishi katika mazingira magumu mkoani humu, ambapo asilimia 62 ya idadi hiyo bado wapo mitaani.


1 comment:

Anonymous said...

Kama taifa tunahitaji kuwa na mpango mkakati unaotekelezeka wa kuwanusuru watoto kama hawa.