Askari akiwa katika doria JNIA
Mapaparazi wakisubiria ujio wa Prince Charles na Mkewe Camilla
Ngoma ziliendelea kutumbuiza
Ndege iliyombeba Prince Charles and Mkewe Camilla akigusa ardhi ya Tanzania tabrikan saa 12:15 jioni (6:15PM)/ 16:15HRS) Jumapili. Hii ni safari ya pili kwa Prince Charles kutembelea Tanzania tangu alipozulu nchini Machi 1984
Mmoja wa Marubani akihakikisha kama ngazi imeshawekwa vyema kabla ya kufngua mlango wa ndege
Prince Charles na Mkewe Camilla wakiteremka toka kwenye ndege
Hapa wakiwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakiangalia tumbuizo toka kwa vikundi vya ngoma za asili
Ziara hii ya siku nne inafuatia mwaliko wa Rais Jakaya Kikwete aliotutoa kwa Prince Charles. Picha kwa hisani ya Fidelis Felix
No comments:
Post a Comment