Shule Girini eka yawaka moto
Baadhi ya wandugu wakiangalia majengo ya shule ya 'girini eka' yaliyochomeka..... Hivi... hii hali inatokana na mgogoro ule wa wanafunzi na uongozi wa shule au ni viboko walivyochapwa madeni....? maswali mengi kuliko majibu...!!
1 comment:
hii tena kasheshe..... bora unatuhabarisha
Post a Comment