Chizi atinga eneo la bunge
Kijana Steven Onesmo (25) aliyetinga kinyume cha taratibu katika eneo la viwanja vya bunge mjini Dodoma na kutishia kushambulia walinzi kwa kisu akidhibitiwa na wanausalama. Hapa akitiwa katika londo la wana usalama kuelekea kituoni...Shughuli ya kumpakia haikuwa ndogo.... kijana hiyo ambaye inasadikiwa kuwa ni chizi alileta maroroso mno.,...
No comments:
Post a Comment