Saturday, January 3, 2009

KINADADA WAVUMILIVU KWELI.....!!!

Ingawa hupenda sana kusuka mitindo ya nywele ambayo wasusi wake hutokea katika jamii za wamasaai, inavyoonyesha kinadadazetu huwa wavumilivu sana... kwani mbali na kukaa kitako muda mrefu.... kajismell ambacho hutoka kwa wasusi hao.. hususan katika mkao kama huu unaoonekana pichani.....mhnmmn... mie chichemi....!!!

2 comments:

Anonymous said...

Haha ni kweli wadada tunavumiliaga ili tupendeze.
Lakini siku hizi wamasai wengi( wa Dar) wanajitahidi kuoga na wanavaa bukta kwa ndani hawanukinuki kama ilivyokuwa hapo zamani.
Kaka nanihii acha basi kutuponda manake nywele za kimasai zinapendezesha mwe!
Kaka kaza buti unajitahidi ka-blogu kako katakuwa kazuri ila bado una uchanga wa habari.
keep it up.

Anonymous said...

Kazi kweli kweli sipati picha huo wakati walipokuwa hawavai Bukta duh yani unajipatia picha ya ngono live ndio manamlikuwa hamuangalii juu kumbee mwafaidi