Saturday, January 3, 2009

Mnaokuja Dom muwe macho....!!!

Eneo la mlima uliyopo dodoma makulu ambapo alimanusura matapeli watatu wawili kutoka dsm wakiwa na mwenyeji wao wamlize babu wa watu kutoka rombo kiasi cha sh40m...fedha ambayo babu huyo aliipata baada ya kuuza nyumba yake iliyopo dsm.... hata hivyo polisi mkoani dom walistukia game na kumwokoa babu huyo asitapeliwe......
Eneo hili ndilo babu huyo toka rombo alipoambiwa kuwa atazungumza na babu anayeweza fanya mazingara chapaa hizo Sh40m zikawa Sh600m.....
Hapa kuna mishumaa pamoja na udi ambayo huwashwa na kumpumbaza mtapeliwa kuwa ataongea na maruhani.... ila kwa mbele kama anapoelekea kamanda mmoja pichani kuna tundu la kutokea upande wa pili.... ila kwa juu yake kuna madondora kichizi.....!!!

1 comment:

Anonymous said...

hi jube, nimefurahi initiative uloanza. sie wengine hatuna access na habari kabisa kwa urahisi huku tulipo lakini kwa hiyo blog we can any time access info. even via mobile phones. so big up again, halafu nimependa quote uloweka hapo ila make sure una update so often sio quote tu kila kitu kama unaweza. it ll make ur blog luk updated and useful. again hongera and just keep up and try being a bit mo creative thats how pipo kam to realize wat potentials they av got.