
Haya sasa.... huyu naye tena anamdraiv mheshimiwa... ila angalia alipoegesha gari.....!!!!

Huyu naye baada ya kumwaga mchanga.... tipa limekataa kurejea sehemu yake.... akaamua kutambaa hivyo hivyo.... huku deiwaka wake akiwa nyuma kimashakamashaka....!!!

Mwingine kaamua tu kudharau ishara ya barabarani (kushoto) inayomwonyesha kuwa hiyo ni njia moja tu.... hairuhusu gari kuenda upande anaoelelea...........!!!!
1 comment:
dom hawajazoweaa hizi njiaa na hapo zamani hakukuwa na alama sasa wenginee alama not rechable huwa hawazisomi wala kuangalia mradi chuma kinaenda mele na yeye juu kwa juu
Post a Comment