Saturday, January 3, 2009

Kiu sooo...!!!

Mgambo aliyekuwa akiangalia usalama wakati wa mkutano wa hadhara kijiji cha nmpunguzi kilichopo nje kidogo ya manispaa ya dodoma katika barabara iendayo kwa wanyalukolo alishindwa kuvumilia na kundaka mama mmoja ampe malenga ga kunywa..... alipokuwa akitoka kisimani....Kiu kweli noma..... ila bora huyo kiu cha maji.... wenzangu na mie mna viu vingi.... vingine ata sivitaji....!!!

1 comment:

Anonymous said...

Huyo mgambo inaonekana mlevi wa kangara, zile pombe za kienyeji za wagogo.